Habar wakuu, nilikua naomba kujuzwa kama inawezekana kwa namna yeyote kutoa hela uliyo tumiwa kwa njia ya WESTERN UNION bila MTCN.
kama inawezekana kwa namna yeyote kutoa hela uliyo tumiwa kwa njia ya WESTERN UNION bila MTCN.
Mwambie aliyekutumia akupe na control number vinginevyo itakula kwako.
Kwani control number ndo number ya siri?
Siri katika utumaji wa hela kwa western Union inajumuisha Control number, Swali na jbu pamoja na kiasi kilichotumwa. Hivyo vyote lazima viwe sahihi ili upewe hela yako.
Pamoja mkuu!Hapo mkuu nimekupata,pia nashukuru sana
Siri katika utumaji wa hela kwa western Union inajumuisha Control number, Swali na jbu pamoja na kiasi kilichotumwa. Hivyo vyote lazima viwe sahihi ili upewe hela yako.
Siyo lazima, ila pesa inapokelewa posta. Vitambulisho kama cha Kura, kazini, shule au chuo nk hutumika kwa aliyetumiwa ili kupata pesa yake.kwani ni lazima umtumie postal address?
Siyo lazima, ila pesa inapokelewa posta. Vitambulisho kama cha Kura, kazini, shule au chuo nk hutumika kwa aliyetumiwa ili kupata pesa yake.