Naweza Pata wapi Wi-Fi }hotspot } Router kwa ajili ya Tablet

pozzyfaza

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
1,443
1,500
Je mnaweza kunielekeza wap naweza pata ichi kifaa ama mtu aniuzie, me nipo Mbeya
 

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,758
2,000
kama una hela around laki hadi laki na nusu kuna kifaa kinaitwa mifi kaulizie maduka ya simu makubwa wanacho. au unaweza muona Young Master atakusaidia zaidi.

kama budget ndogo kuna mifi/wireless modem naiona dar ya huawei (nafkiri wenyewe wanaita wireless router) inauzwa elf 50 japo battery yake si nzuri.

alternative tumia simu yako kutengeneza wireless
 
Last edited by a moderator:

pozzyfaza

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
1,443
1,500
nilienda voda wakaniambia usb mobed haiwez kufanction, so natakiwa nipate router or cm yenye hotspot
 

pozzyfaza

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
1,443
1,500
hapana hawajaniuzia wao bali nilienda kucheki modem wakaniambia nichukue router kwa 70 elfu
 

JZHOELO

Senior Member
Sep 20, 2011
184
500
Je mnaweza kunielekeza wap naweza pata ichi kifaa ama mtu aniuzie, me nipo Mbeya
whatzaaaaap,., dont overthink this bro ts simple like hell,kwanza wifi device ya nini kama budget yako ni ndogo? tumia modem kwenye tab yeyote ya android (works best with rooted tablet)...unachohitaji ni usb 2 mini yenye female output ya usb kubwa (OTG USB Cable) _font_b_usb_b_font_font.jpg_140x140.jpg images.jpeg imagesew.jpeg otg_cable_640x360.jpg
,plug ur cable in the tab plug your modem in the other end..zima wifi kama itakuwa imewashwa..subiri mpaka tab yako iisome modem and you can easily connect..in case ikikataa kuconnect automatically,..nenda kwenye settings>more>network>access point>apn>menu then create apn mpya,.utakuwa tayari kuwork online na modem yako with ur tablet...

option ya wifi ni cheap kama una simu ambayo ina hotspot cappability though kwa simu yeyote hotspot is always famous kwa kudrain battery....option ya kununua Huawei wifi/mifi dongle ni nzuri ila still nakenyewe kanakuwa battery drained fast... ushauri wangu mzuri ni kutafuta hii (OTG USB Cable) na unaweza kutumia modem yeyote kwenye your android tablet iwe ya kichina au original, modem itafanya kazi 100% na utakuwa umeokoa gharama za ziada....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom