Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Naomba msaada kwa yoyote anayejua na ambaye ameshawahi ku-upgrade LG GW 305/300 au aina yoyote ya LG mobile inakuwa ni vipi caz nmejaribu ila mara nyingi inakataa. Kama unajua please nisaidie.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
wakuu baada ya kukomaa kwa mda nimefanikiwa kuiponya dv9000 lile tatizo la kuwaka blue light now ipo safi inafanya kazi kama kawa nimeona nirejeshe feedback kama nilivyoahidi hapa jamvini
0 Reactions
3 Replies
1K Views
HI
Jamani naomba msaada wenu na modem yangu ya huawei ec189 nataka ni frash niweke line yeyote inawezekana naomba jibu.:a s 13:
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Java EE 7 work focusing on the cloud Work on the next enterprise edition of Java is proceeding at Oracle, with the company...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Likitokea kosa kwenye diesel Engine Machine Kimakosa ukaweka Petrol ina maana hiyo machine itakuwa imekufa ama kuna namna unaweza rekebisha? I stupidly put petrol in my 10 KVA silent Diesel...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Jamani sijawahi kusikia kufanyika kwa confrernce yoyte, naombeni mniambie kama kuna yoyote inayofanyika hivi karibuni:decision:.
0 Reactions
6 Replies
960 Views
Jana nimepokea mesage hii ambayo ilinishangaza sana, "Your Vodacom Buddy transaction REF:XXXXXXXXXXXXXX has been completed" Cha ajabu zaidi, nilipoangalia salio nikakuta 79,000/= kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za jioni simu yangu ni N79 origin nashindwa inashindwa kusoma pdf nyingi yaani haziplay naomba msaada wenu wataalamu.Ikiwezekana nitumiwe kwenye email yangu ( dseverin47@gmail.com) naomba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kuna sehemu mdau kapot hii kitu najua kule hawataiona wengi read this Mobile and Web Technologies for social and Economic Development
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau kuna modem Huawei mobile broadband HSPA+ USB slider model:E1820.sasa wanasema hii modem inakubali chip ya airtel and Vodacom.So nimejaribu kutumia Vodacom.after installation ina autorun page...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hello wana JF! Niliigawa Hard Disk yangu katika sehemu 4: Local Disk C, E, F na G ambapo G ni kwa ajili ya Back Up. Tatizo ni kwamba G imejaa na ninapojaribu hata kufuta baadhi ya mafaili...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Nimenunua simu ya kichina. Imelokiwa kutumia SIM card ya tiGO tu. nataka iwe inapokea laini zote. Inaitwa MI au Mi-Q+ Imetengenezwa na Mi-Fone company IMEI: 357213030445512. TAFADHALI...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
natafuta diplosat model namba DDSR5512 FTA,mwenye kujua pa kuipata anijulishe nimetafuta maduka yote mwanza nimekosa,na mimi niko bukoba mwenye kujua anijuze ili niweze kuipata nitashukuru
0 Reactions
0 Replies
2K Views
KWA YEYOTE ANAEHITAJI SOFTWARE MBALIMBALI NA KWA BEI POA PLSE TUWASILIANE,NA SOFTWARE ZIPO ZA KILA AINA MFANO: 1.PAYROLL/SALARY PROCESSING/EMPLOYEE MANAGEMENT. 2.FINANCE ACCOUNTING SYSTEM...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanajamii hebu nisaidien nimewasha computer inakuwa standby nimezima nimewasha inawaka taa ya standby je inatatzo gan?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani ukweli ni kwamba kupitia jukwaa hili mambo mengi yanajibiwa kitaalam tatizo langu ni hili nina modem ya voda hiyo niliyoitaja hapo juu nilikuwa nikijalibu kui-unlock kwa kutumia dc-unlocker...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
hey wazeeya,wakubwa nimekua nikijaribu kufungua payapal kwa crdb visa bila mafanikio...card nimeiunganisha na internet banking ila kila nikijaribu ku confirm napata We were unable to verify this...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ule mpango wa uchakachuaji ulokuwa umekithili katika watumiaji wa moderm za zantel sasa umefikia kikomo, jamaa wamesha gundua na wame block zile prox number za bure, i mean ths proxy user =...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
KUNA VITU VINGINE UKIPEWA STATISTIC NI AIBU MNO KWA TAIFA YAANI SISI WATANZANIA KWA IDADI YA WATU WENYE ACCESS NA INTERNET NI WA MWISHO MNO AFRICA NA AFRICA MASHARIKI....TUMEWAZIDI BURUNDI TU...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
For fun ,najaribu kutengeneza website kutumia html. Nataka iwe na page say 5! Code muhimu za html nimesoma online na baadhi za CSS. Licha ya kusoma about a href code,sijajua vipi his webpages...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom