habari waheshimiwa.naomba msaada wenye uzoefu na haya mambo.kuna jamaa yangu alimuona muuzaji ktk site ya Nifahamishe uza na nunua.ana uza mobile phones location hungury ila contacts zake za uk.wakafanya communication then payment zikafanyika kupitia western union kwenda hungury.pindi wanawasiliana nae alikuwa ana2mia namba ya nigeria.baada kama ya siku mbili akasema aongeze hela kama usd 1500 coz ameongeza idadi za simu eti alimuambia na akakubali ila muhusika hakumbuki kama alimtarifu kabla.basi malipo ya mara ya pili akasema am2mie nigeria badala ya hungury.na akasema pindi tu malipo ya mara ya pili yakikamilika atapata mzigo wake ambayo ni tarehe 30 dec 2013.cha ajabu mpaka leo hajapata chochote,ame2mia usafirishaji wa broadline 247.na ukiweka track number inasema bado ipo julius nyerere airpot mpaka sasa.yeye kajaribu kuwasiliana nao wote muuzaji na shipper (broadline 247) kuanzia asubuhi mpaka jioni ndo wakasema mpaka ifike mwanza lazima ilipwe dola kama 970 kama custom duty ndio ita2mwa mza tena i2mwe hungury kupitia western union halaf wao broadline ndio watalipa custom,sasa mimi na muhusika 2mepata wasiwasi 2talipaje ushuru hata mzgo ha2jaona?je ipo sawa hio au ndio matapeli?