Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Wapi naweza kudownload vitabu hasahasa vya shule mwenye kujua naomba anisaidie iwe ni vyepesi kupata na iwe ni free
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari zenu wakuu.. naomba mnijulishe bei ya BLACKBERRY q5 kwa hapa TZ..
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wapendwa kwa mwenye Cm Android Yoyote ama Tajwa ahapo juu, ajongee tufanye biashara me nipo mbeya:clap2:
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakongwe wa it mtiririke mi nimemeambiwa na jamaangu eti zipo mfano hii ''hellospy'' nimejaribu i down load naona longolongo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habar wakuu, nilikua naomba kujuzwa kama inawezekana kwa namna yeyote kutoa hela uliyo tumiwa kwa njia ya WESTERN UNION bila MTCN.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nina shida na webiste developer kwa ajili ya ku-develop website fulani hivi...siongelei simple template yenye pich moja bali complex website yenye functionality na uwezo wa kuhandle data za...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Katika pita pita zangu hapa Arusha. Nimeanza kuziona City Call zinauzwa. Hebu kwa waliowahi kuzitumia watupe pros na cons zake. Kama vile tulivyochambua tecno mobiles. Thanks in advance
0 Reactions
1 Replies
754 Views
nataka kujifundisha ufundi wa computer hardware wapi naweza kupata?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
habari waheshimiwa.naomba msaada wenye uzoefu na haya mambo.kuna jamaa yangu alimuona muuzaji ktk site ya Nifahamishe uza na nunua.ana uza mobile phones location hungury ila contacts zake za...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari zenu wana-JF Nikiwa katika mchakato wa kuagiza gari, nimekutana na vitu vifuatavyo ambavyo ningependa ufafanuzi wenu wadau wa JF. Kwa ujumla sijaelewa tofauti kati ya "Motor vehicles with...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Facebook doesnt have a simple way of deleting specific data from ones timeline including old posts, comments and likes that a person would like to have removed from his or her profile, Slates...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna hii nimetumia kwenye php "preg-replace("/[^a-zA-Z0-9\s]/","",)" without "" mwanzo na mwisho lakini nashindwa niongeze character ipi ili enter key ikubali yani mtu akipress enter iende next...
0 Reactions
10 Replies
879 Views
Je mnaweza kunielekeza wap naweza pata ichi kifaa ama mtu aniuzie, me nipo Mbeya
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Mystery solved: Why dogs spin in circles before doing their business By Chris...
0 Reactions
0 Replies
444 Views
Wakuu, baadaa ya kutafuta sana mtandaoni bila mafanikio mazuri nimeona bora niulize huku... Katika web browsers kuna plugins zinazo wezesha kubadilisha user-agent yani kama Google Chrome, ionekane...
0 Reactions
0 Replies
758 Views
wakuu habari za leo tarehe 1/1/2014 hongereni sana kwa kupewa siku mpya katika mwaka, baada ya kuitafuta window 7 katika topic zilizopita bila mafanikio sasa naombeni yeyote mwenye mapenzi mema...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
natumia window 8 pro, kila napojalibu kutumia skype na facebook video call inagoma, msaada wenu please...!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani Natafuta shule nzuri ya a.level private skull ya mixture naomba Masada wenu
0 Reactions
4 Replies
802 Views
Habar wakuu Kama kuna mtu anaweza kutengeneza vitambulisho vya chuo nimpe dil sasa hv. Or tuwasiliane kwa nmb nPM sms zitajibiwa.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Leo nimepokea email kwa mtu nisiyemjua anayeonesha yuko China lkn nikajiuliza mara mbili mbili na nikalinganisha na mwenzetu aliyenunua simu za winejeria thread yake hapa chini...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom