Msaada Video calls hazikubali kwenye laptop yangu.

Msaada Video calls hazikubali kwenye laptop yangu.

Bzmana

Member
Joined
Mar 17, 2013
Posts
12
Reaction score
1
natumia window 8 pro, kila napojalibu kutumia skype na facebook video call inagoma, msaada wenu please...!
 
Mi natumia window 8 but kwangu zote hizo zinafanya kazi vizuri tu, tell us lazima kina kitu kitakuwa hakiko poa hapo kwenye pc yako
 
nipo mwanza, mbona nilipokuwa natumia window 7 mambo yote ya video calls yalikuwa sawa.! Tatizo ni kwamba Skype haikubali kukonect na facebook, pia napotaka kupiga video calls nikiwa fb inaniambia ni-install program, nikipiga tena inagoma.
 
Back
Top Bottom