msaada wa window 7 wakuu

msaada wa window 7 wakuu

google helper

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
9,667
Reaction score
13,872
wakuu habari za leo tarehe 1/1/2014 hongereni sana kwa kupewa siku mpya katika mwaka,
baada ya kuitafuta window 7 katika topic zilizopita bila mafanikio sasa naombeni yeyote mwenye mapenzi mema ya kunisaidia ili kuinusuru mashine yang wajameni.
 
Shida nini Mkuu??

Sent from my GT-I9505 using Tapatalk
 
shida mashine inapunguza mwanga na kuongeza kwenye screen so naona nipige window mpya may be itakuwa ni dawa.
napatikana dar
 
Yani nataka kujua upo pande zipi Ili nijue jinsi ya kukupatia!
 
Njoo na cd flash nikupe image !
Window 7 ultimate ,proffesional ,starter,home basic,interprise or na je ni 32 bits or 64 bits
Window 8 or 8.1 na je ni 32 bits or 64 bits .
Tell what you need from the above window version and types
 
shida mashine inapunguza mwanga na kuongeza kwenye screen so naona nipige window mpya may be itakuwa ni dawa.
napatikana dar

angalia brightness settings uone ikishindikana kabisa ndio upige window chini..
 
Back
Top Bottom