Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu nahitaji Application ambayo ni easy kutumia inayoweza kupadili Image/picture kuwa pdf tena kwa kuunganisha kabisa
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Wana JF nna shida ya kujua sehem gani au chuo(short course) gani naweza kwenda kujifunza maswala za broadcasting technology based kwa radio transmitters issues au single course ya ufungaji wa minara..
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamvi, naomba tusaidiane. Nina TV aina ya Sundar (sio Smart). Ina-support Flash driver na ina-load subtitle vizuri kwenye video. Tatizo linapokuja ni kwamba, siwezi kuongeza FONT...
0 Reactions
1 Replies
494 Views
Je wewe ni muhanga wa kufungiwa kutumia WhatsApp ? Whatsapp Kwenye simu yako na kila ukijiunga Whatsapp lazima upigwe ban? Unafanyaje kujiondoa?? Wengi wanajiuliza inakuwaje imenitokea hii...
3 Reactions
5 Replies
4K Views
Kama ilivyo kwa YouTube pamoja na Blogs na website mbalimbali kuwa na kipengele cha Uvunaji kupitia Maudhui Mtandao hasa kampuni ya Google (Google Monetization) kwa kupitia Matangazo ya Google...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani sasa hivi facebook kuna wimbi kubwa sana la account za watu zimedukuliwa. Jambo la kusikitisha na kutia aibu kupitiliza ni kwamba account hizi zinatumia na wadukuzi kurusha maudhui ya ngono...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
Natanguliza shukrani kwenu. 🙏
5 Reactions
66 Replies
6K Views
Wakuu katika kuhakikisha mambo yanakuwa sawa,timu nzima ya AfroIT itakuwa inakuletea mafunzo ya Networking kwa maandishi na Video,Hivyo kaa mkao wa kura.Maoni na ushauri unahitajika katika...
6 Reactions
14 Replies
6K Views
Kinachonipa wasiwasi hapa naona wameorodhesha windows za kizamani tu nawakati dell yangu iko na windows 10
2 Reactions
2 Replies
485 Views
Wadau,, hivi kwa Dunia ya sasa,,je mtu anweza kununu Lenovo thinkPad X260 au unamshauri anunue laptop ipi inayoendena na heavy duty activities lakini inatunza charge kama Lenovo X260 Ram8GB?Naomba...
1 Reactions
5 Replies
696 Views
Wakuu heshima kwenu. Niende kwenye mada husika. Nimepata ujumbe kutoka kwa YoWhatsapp ikinitaka nitumie Official Whatsapp. Nawezaje ku-link messages za YoWhatsapp na Whatsapp ya kawaida, coz...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu msaada jinsi kuzuia SMS ikiingia isionekane kwenye kioo wakat nipo mbal Asanteni
0 Reactions
31 Replies
14K Views
Habari wakuu, Kama heading inavyoeleza hapo juu, Naomba kwa mwenye experience na masuala haya ya mafuzo ya udereva yanavyokwenda anishauri ni Driving school gani niende ili kupata elimu ya...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Kampuni ya META kupitia mtandao wao wa WhatsApp, wameanza operation maalum ya kuzipiga Ban number zote zilizosajiliwa kwenye WhatsApp GB. Mwanzoni kampuni ya WhatsApp ilikuwa inawapiga Ban...
4 Reactions
16 Replies
5K Views
Ndugu zangu naomba mnipe ushauri kati ya Gofiber na TFiber (ttcl) ipi imetulia sana kwa maswala ya kucheza games online coz nataka nianzishe streaming. Ipi uhakika ndugu zangu?
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Na Bwn Kenge! "Entire third world shall change when consumers turn into producers" Ni Maneno ya mwalimu mmoja aliyekua akijibu swali la Mwanafunzi aliye Uliza "Ni lini Africa(Dunia ya 3)...
13 Reactions
44 Replies
5K Views
Upo tayari kujua tunachokuletea leo? TECNO ilitambulisha Dynamic 1, mbwa wa AI roboti, katika MWC pale Barcelona mwaka huu wa 2024 Februari 26. Kwa muundo wake rahisi kutumia na vipengele vya...
2 Reactions
4 Replies
636 Views
Kwa Tv's nzri inashauriwa ununue OLED, Humu JF watu wengi wanaomba ushauri kuhusu TV gani nzri, wanaelekezwa nunua LG, sumsung, TCL, hisense, Sony even if zinatumia teknolojia ya LED ambayo sio...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Kama kichwa kilivyojieleza, Sina uzoefu na mambo ya back up system, shida kila muuzaji unaemuuliza anakupa majibu yake kutetea maslahi Jamii form najua ina watu wenye maarifa na haya mambo...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari wanajamiiForums, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Simu yangu imeleta mushkeri kidogo, najua kuna wataalam kwenye masuala ya simu. Tatizo hili nimeliona Asubuhi nilivyo amka, jana...
1 Reactions
2 Replies
430 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…