GoldenDude
Member
- Jan 14, 2021
- 19
- 14
Kwa Tv's nzri inashauriwa ununue OLED,
Humu JF watu wengi wanaomba ushauri kuhusu TV gani nzri, wanaelekezwa nunua LG, sumsung, TCL, hisense, Sony even if zinatumia teknolojia ya LED ambayo sio bora kwani uwezi pata parfect black, saturation nzri, high viewing angle na n.k
Hivyo ukinunua boss, oiling, Sony, lg kama zote ni LED akuna utofauti.
Mwenye elimu zaidi atusaidie hapa