kwa mujibu wa mitandao ya neowin na mingineyo wameanza kupost picha na video za iphone 6. picha zimetolewa na mtandao wa kichina na wale jamaa ambao ndio hujulikana kwa kuleak product za apple...
Habar ndugu zangu, ninatatizo kwanye simu tajwa hapo juu, tatizo lilianza baada ya kui-reset yaani haikamati internet kwa namna yoyote, na ukikonect data inaonesha iko ON ila ile alama ya E ya...
Hapo kabla sikujua tatizo ni nini, ila nikawa nikibadili line nyingine katik simu yangu(android os) tofauti na airtel hili tatizo la GPS kujiwasha halipo.
lakini nikitumia internet ya airtel GPS...
Habari zenu wakuu. Naomba aliye na kijiprogram cha kuactivate sauti kwenye xp na window installer 4.5 anisaidie link ya kudownload free.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Wakuu habari za weekend,nimewahi fanya manununzi kwa ebay nikafanikiwa bila tatizo.ila kwenye amazon nashindwa please naombeni nieleweshwe procedures jinsi ya kununua vitu amazon
Ningependa kujua languages zilizotumika kwenye utengenezaji wa website ya JamiiForums pia na kama ilitumia service kama phpBB iliyotengenezwa kwa php. Pia na hosting yake inakuaje?
Salama wakuu.?
Nina tsh.400000 naombeni ushauri ninunue simu gani.
Nataka iwe mpya kabisa yani niitoe dukani..
Sifa:
Iwe android/ios/bb10 os,windows..
Isiwe Samsung,Huawei au tecno...
Nimejaribu kutumia hii GOOGLE GEOLOCATION SERVICE kupata latitude na longitude za miji ya Tanzania.
Kwa bahati mbaya inarudisha
Latitude is -6.822921°
Longitude is 39.269661°
kwa miji mitatu...
Ofisini tumepewa laptop za dell za touch screen.
Sasa kuna kifaa kipo kama moderm kimeandikwa Mobile Broadband 3.5G USB stick. Ni kitu gani hiki maana sioni mahali pa kuweka line kama moderm...
Amani na-iwe-kwenu
Kama kichwa cha ombi langu kinavyosomeka hapo juu,naomba wajuzi wa tasnia hii ya teknolojia ya simu na wale ambao mmebahatika kuitumia simu tajwa nimfahamishe uwezo wa Tecno...
Na Laptop yangu HP pro book .
Ilianza tatizo gafla tu.
ukiwasha inafanya Window Repare . niliiongoja usiku mzima onaload kale kamstari kanafika karibia na mwisho inaanza upya .
Kupeleka kwa...
Naombeni mnisaidie wenye uelewa na swala hili ili niweze kuidisign vizuri blog yangu. Jinsi ya kuziweka habari katika mpangilio wa home, habari za kitaifa, kimataifa na siasa katika blog
naomba msaada kwa hili:
Nilikua natumia ving'amuzi viwili kwenye TV moja, DSTV na Startimes, nilisafiri sasa nimerudi naona inaonyesha DSTV tu na startimes inakua kama haijaunganishwa na TV...
Habari wakuuu nadhani mko vizur kabisa
Juz kati nilikuja na uzi unaohusu kubadili jina kwenye page za facebuk zenye like zaidi ya 200 lakin sikuchoka kugoogle na nimepata pa kuanzia..
Website...
siku hizi kumekuwa na ongezeko la bidhaa feki kila siku , bidhaa hizi maarufu kama bidhaa za kichina zimekuwa kero kwa watu wengi,leo ningeingia kwenye simu za mkononi aina ya samsung galaxy...
Wakuu kwenye computer yangu nina Operating systems mbili. Natumia Window 8 as primary OS na Ubuntu as secondary OS.
Nimeinstall Ubuntu (gnome flavor) on top of window OS and everything works...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.