Iphone 6 is here

Iphone 6 is here

Joeli

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
4,941
Reaction score
3,417
KDkf7TL.jpg


kwa mujibu wa mitandao ya neowin na mingineyo wameanza kupost picha na video za iphone 6. picha zimetolewa na mtandao wa kichina na wale jamaa ambao ndio hujulikana kwa kuleak product za apple kabla hazijatoka wanaojulikana kama 9to5mac tayari wanaamini picha na video ni za iphone 6 halisi tofauti na leak zilizopita. maana kunaonekana passbook ambayo ni feature ambayo inakuja na iphone6.

haya wale die hard fans wa iphone jipangeni.
 
Nausubir january mwakan ndio najua bei yake itakua ina afadhal kidogo
 
Hako kadogo kamenivutia, katatosha kwenye jeans zangu
 
tusubiri hiyo keshokutwa tuone wanatuletea kitu gani mwaka huu,,my guess is a 4.5 inch screen 'iPhone 6', prices kuanzia $649 kupanda juu,,
 
Back
Top Bottom