Nitawezaje kufanya online purchasing- Amazon

TO2004

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
540
Reaction score
220
Wakuu habari za weekend,nimewahi fanya manununzi kwa ebay nikafanikiwa bila tatizo.ila kwenye amazon nashindwa please naombeni nieleweshwe procedures jinsi ya kununua vitu amazon
 
eleza vizuri, unakwama nini?
 
Back
Top Bottom