irumba1
JF-Expert Member
- May 10, 2013
- 882
- 322
Habar ndugu zangu, ninatatizo kwanye simu tajwa hapo juu, tatizo lilianza baada ya kui-reset yaani haikamati internet kwa namna yoyote, na ukikonect data inaonesha iko ON ila ile alama ya E ya kuonesha internet hakionekan, na hata bluetooth ukiiwasha inakubal ila ukitaka kupokea/ kutuma nyimbo inakataa (NO NEW DEVICE FOUND) kwasasa nashindwa kuperuz mitandao mbalmbal Kila nikijarib kuweka addres/link inakataa na kuandika UNAVAILABLE DATA.
kupiga na kupokea haina tatizo,Jaman Mwenye utaalam anisaidie.
kupiga na kupokea haina tatizo,Jaman Mwenye utaalam anisaidie.