Naomba Msaada, Airtel internet inawasha GPS hata nikiizima

Naomba Msaada, Airtel internet inawasha GPS hata nikiizima

Innocizy

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
1,736
Reaction score
1,056
Hapo kabla sikujua tatizo ni nini, ila nikawa nikibadili line nyingine katik simu yangu(android os) tofauti na airtel hili tatizo la GPS kujiwasha halipo.

lakini nikitumia internet ya airtel GPS lazima ijiwashe hata nikiizima katika settings

naombeni msaada wataalamu wa humu.

thanks in advance.
 
mara nyingi husababishwa na app za weather zinataka zijue ulipo zikutumie hali ya hewa.

katika homescreen hakuna widget au kitu chochote kinachoonesha hali ya hewa? kama kipo kitoe then angalia kama still itaendelea kusumbua
 
bila shaka itakuwa ni techno ndo zina tabiahiyo funga internet unapokuwa hauitumii
 
bila shaka itakuwa ni techno ndo zina tabiahiyo funga internet unapokuwa hauitumii
Duh, hiyo conclusion yako!

Hilo tatizo ni kweli, kwangu pia linatokea kwa Upande wa airtel. Niliamini mwanzo inaweza kuwa ni app based na si courier, lakini factory reset haisaidii, Ukiwasha 3G ndani ya muda mchache tu GPS inawaka, Tatizo hili lipo kwa aina nyingi za simu.
Let me google that for you
 
Poa ndugu nasubiri
 
hii ki2 hua inatokea hata kwangu pia nnapowka line ya airtel,,natumia lenovo tab.
 
Mi linantokeaga mpaka nkahis kuna mtu anantrack kumbe c kwangu tu
 
Back
Top Bottom