Msaada: Ubuntu OS haisomi memory stick au external drive yoyote

Msaada: Ubuntu OS haisomi memory stick au external drive yoyote

icoderz

Senior Member
Joined
Mar 9, 2014
Posts
135
Reaction score
83
Wakuu kwenye computer yangu nina Operating systems mbili. Natumia Window 8 as primary OS na Ubuntu as secondary OS.

Nimeinstall Ubuntu (gnome flavor) on top of window OS and everything works fine. Tatizo ni kwamba ubuntu haisomi memory stick au any other external drivers ila niki switch kweye windows inasoma fresh bila tatizo.

Naomba muongozo wenu kwa wanaojua solution ya hii kitu. Je inawezekana ikawa kuna some settings nilizimiss kwenye installations? Nime uninstall ubuntu na ku-install again lakini bado tatizo lipo pale pale.

Kwanini Ubuntu on top of windows inashindwa kusoma any external drivers ?

Naumiza kichwa kutafuta solutions hapa mpaka kichwa kinauma. Ubuntu documentations na other Ubuntu forums hawajaelezea jinsi ya kutrobleshoot this kind of problems ila bado nazidi kutafuta solutions online.

Naomba kuwasilisha wakuu.
 
hiyo ubuntu umeinstall kwenye separate partition or ume virtualize?
 
Hebu jaribu kufanya hivi
Fungua disk utility halafu angalia mount directory ya hiyo drive mfano /dev/sda1 au /dev/sdb2, kisha fungua terminal na andika hii command
sudo ntfsfix /dev/sda1 (kwa hard drive za ntfs file system) au sudo fatfix /dev/sda1 (kwa hard drive za fat file system)
NB : kumbuka kureplace mount directory husika sehemu ya directory kwenye command hapo juu
 
Developer Waheed big up yourself 🙂

Solution yako imenipa direction ya kusolve the problem kabisa.

In short the following commands ndio zimenipa solution.

  • sudo fdisk -l
  • Wait like 5min hivi
  • sudo mount /dev/*sdc1* /mnt
  • ​Problem solved
​
 
Next time just open nautilus and click the drive pn left hand side and... voila'
 
Back
Top Bottom