Naomba msaada wa kuweka windows kwenye laptop yangu

Naomba msaada wa kuweka windows kwenye laptop yangu

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,062
Reaction score
3,280
Na Laptop yangu HP pro book .
Ilianza tatizo gafla tu.

ukiwasha inafanya Window Repare . niliiongoja usiku mzima onaload kale kamstari kanafika karibia na mwisho inaanza upya .
Kupeleka kwa fundi tukashauriana labda windo inashida so tipandishie window nyingine. Disk ikakataa kisoma, badala yake tukatumia Flash ikakubali lakini mda inaInstall ikawa inabaki 0% haisogei kabisaa.

Tukasema labda Ram imekaa vibaya au H. Drive disk imekufa. tukafungua na kuweka HDD kwnye Laptop nyingine ikafanya Kazi, hivyo hivyo kwa CD drive na ram.

Tukagundua hazina shida .

Tukarudiahia kwnye Laptop yake stil problem ikawa palepale
Inanatuumiza kichwa, tumeweka chini kituliza akili ni nini kitakua tatizo.

Tusaidie kwa anayeweza toa ufafanuzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom