cc12
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 1,018
- 397
Habari wakuuu nadhani mko vizur kabisa
Juz kati nilikuja na uzi unaohusu kubadili jina kwenye page za facebuk zenye like zaidi ya 200 lakin sikuchoka kugoogle na nimepata pa kuanzia..
Website moja wameandiaka juu ya Tatizo hili kuwa unaweza kuchange jina la page kama uko marekani tu au pc yako inasoma pd proxy za marekani tu, na option hii iko marekani.
wana JF msaada tena yeyote yule aliteko USA naomba msaada wako wa hali na maliii nifanikishe hili swala maana linaumiza kichwa sipati usingizi kabsa hii ni video niliocheki nikaona inamatokea mazuri kwa wale walio jaribu https://m.youtube.com/-
watch?v=FSuYkId6XWk