Msaada wa Google Location API

Msaada wa Google Location API

G12

Senior Member
Joined
Aug 31, 2012
Posts
156
Reaction score
51
Nimejaribu kutumia hii GOOGLE GEOLOCATION SERVICE kupata latitude na longitude za miji ya Tanzania.
Kwa bahati mbaya inarudisha
Latitude is -6.822921°
Longitude is 39.269661°

kwa miji mitatu tofauti ya Tanzania.

Nawezapata vp latitude na longitude sahihi kabisa (zisizofanana kama hapo juu) za miji ya Tanzania?

Shukrani.
 
kaka alternative tumia here maps zina accuracy kubwa zaidi.

nenda here.com wana web app

angalia adress utaona ipo namna hii
http://here.com/-5.247028,39.0875899,12,0,0,normal.day

i hope hizo namba zilizotenganishwa na alama ya mkato ndio unazozihitaji.

hio ni adress ya tanga
 
kaka alternative tumia here maps zina accuracy kubwa zaidi.

nenda here.com wana web app

angalia adress utaona ipo namna hii
http://here.com/-5.247028,39.0875899,12,0,0,normal.day

i hope hizo namba zilizotenganishwa na alama ya mkato ndio unazozihitaji.

hio ni adress ya tanga

Nimecheki lakini sijaona jinsi ya kua achieve matakwa ya use case ifuatayo:
1. Nataka programatically nisome latitude and longitude za user anayetumia application yangu (web application)

2. Then nikiishakupata latitude na longitude info, nafanya REVERSE GEOCODING kwa kupass hizo latitude na longitude data ili kupata City name (ingawa reverse geocoding inarudisha data kibao, mimi nitachukua city name tuu)

Shukrani
 
Back
Top Bottom