Karibu mdau mgeni.Kuna posts maelf kwa maelf hapa JF zilizoletwa na wanajf. Sasa sijui unataka usome za nani hasa na za jukwaa gani.Hicho ndicho kitendawili wapaswa kukitegua.Wadau mm ni new member naomba jinc ya kusoma post zako hapa jf ambazo ulishawai ziandika
Karibu mdau mgeni.Kuna posts maelf kwa maelf hapa JF zilizoletwa na wanajf. Sasa sijui unataka usome za nani hasa na za jukwaa gani.Hicho ndicho kitendawili wapaswa kukitegua.
Sasa fanya hivi: tafuta jukwaa ulipendalo.Ingia humo kisha soma thread zinazokuvutia pamoja na comments zake.Mchukue mdau ambaye comments zake zinakuvutia.Angalia id yake kwenye hizo post kisha click id yake.Utapelekwa moja.
kwa moja kwenye ukurasa wake. Kwenye huo ukurasa bofya mojawapo ya hizi mbili, ama Latest posts au latest threads. Utaletewa posts au threads za huyo mtu na umtamsoma mpaka roho yako itosheke. Ndivyo mimi nilivyofanya kwa mdau mmoja aliyenivutia sana hapa JF.
kwa tunao tumia opera hatupat hiyo huduma
wap version