Nawezaje kupata 4G network ?

Nawezaje kupata 4G network ?

MANGUNGO

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
1,536
Reaction score
354
Naomba kutolewa ushamba kidogo juu ya 4G network ..ktk mambo hata:-

(1)Namna ya kuipata je, inategemeana na aina ya simu na uwezo wake?

(2)Je,ni maeneo gani ya Tz mtandao huu u aweza kupatikana?

Asanteni.

Naomba kuwasilisha
 
Mi hapa natumaini 4G, Dar inapatika airtel, Voda...
 
Mkuu hemu niambie hiyo 4G inategemeana na aina ya simu? au kadi ya simu ? Au eneo ?...

Fafanua kidogo mkuu tuelimike na sisi
 
Aina ya simu, simu nyingi zinazokuja Bongo hazina 4G, nyingi zina 3G!
 
4g kuipata inahitaji vitu viwili

1.hardware yenye uwezo wa 4g kwa case yako ni simu, inabidi simu yako iwe na band za lte

2.isp au kama tunavyoita mtandao wa simu inabidi nao wawe wanasuport hio lte(4g)

kujua kama simu yako ina lte angalia specs za simu hata gsmarena ukiona kwenye band pale wameandika band za lte ujue unayo.

kwa kuongezea hizi band zipo nyingi, simu yako inaweza kuwa na baadhi ya band za lte lakini mtandao wa simu ukawa unarusha 4g kwa band nyengine tofauti na simu yako ujue hapo hutapata kitu.

Kwa tz smile wana 4g, pia niliskia mda kidogo voda wanafanya trial ya 4g baadhi ya maeneo Dar
 
Inayoniandikia 4G natumia airtel ni 4G fake? Na upo fast kama ile ni
 
4g kuipata inahitaji vitu viwili

1.hardware yenye uwezo wa 4g kwa case yako ni simu, inabidi simu yako iwe na band za lte
2.isp au kama tunavyoita mtandao wa simu inabidi nao wawe wanasuport hio lte(4g)

kujua kama simu yako ina lte angalia specs za simu hata gsmarena ukiona kwenye band pale wameandika band za lte ujue unayo.

kwa kuongezea hizi band zipo nyingi, simu yako inaweza kuwa na baadhi ya band za lte lakini mtandao wa simu ukawa unarusha 4g kwa band nyengine tofauti na simu yako ujue hapo hutapata kitu.

kwa tz smile wana 4g, pia niliskia mda kidogo voda wanafanya trial ya 4g baadhi ya maeneo dar

Hakika umenielimisha mkuu Chief. Barikiwa sana kaka
 
Mkuuu mimi nime angalia omekija nimeona kama ifuatavyo vipi kwa simu hii napata.
 
Attachments

  • 1416409459355.jpg
    1416409459355.jpg
    57.3 KB · Views: 318
Mkuuu mimi nime angalia omekija nimeona kama ifuatavyo vipi kwa simu hii napata.

scroll juu kwenye band ndio utaona.

kama ni s4 version ya kimataifa haina 4g ambayo ni i9500 kwa version za wenzetu huko kama i9505 na i9506 zinazo 4g

UhydfWq.jpg
 
Yangu ni 19500 hii naona haina mkuu..kama ulivyoweka hapo
 
Ila its possible kabisa 3g ya s4 kuipita speed 4g.

mfano airtel/tigo maeneo ambayo hakuna watu wengi simu yako inaweza kupeleka hadi 42mbps ambayo ni kama 5MB/ps speed hio ni kubwa kushinda 4g ya smile.

mimi simu yangu ni 21mbps na speed ninayopata inarange 1-2MB/ps
 
ila its possible kabisa 3g ya s4 kuipita speed 4g.

mfano airtel/tigo maeneo ambayo hakuna watu wengi simu yako inaweza kupeleka hadi 42mbps ambayo ni kama 5MB/ps speed hio ni kubwa kushinda 4g ya smile.

mimi simu yangu ni 21mbps na speed ninayopata inarange 1-2MB/ps

Ni kweli kabisa kuna wakati internet speed inakuwa kasi sana maeneo ya mwanza mjini lakoni baadhi ya sehemu speed inapungua kabisa
 
Fanya research kuwa na line zote 3, unga bundle zote halafu download app ya speedtest toka playstore, test speed utapata jibu mtandao gani unakufaa.
 
fanya research kuwa na line zote 3, unga bundle zote halafu download app ya speedtest toka playstore, test speed utapata jibu mtandao gani unakufaa.

Asante sana ngoja ni download mkuu
 
Mi hapa natumaini 4G, Dar inapatika airtel, Voda...

Inayoniandikia 4G natumia airtel ni 4G fake? Na upo fast kama ile ni

Mtandao wenye 4G real ni Smile pekee na hau support Voice ni Data pekee hivvo kuuweka kwenye simu ni misuse

Tigo nao maeneo ya Makumbusho,Masaki,UDSM na UDOM wana 4G speed up to 42Mbps lkn hii sio real 4G
 
Technicaly teknolojia 3G, 3.5G, 3.75G 4G ni kwa ajili ya data pure, na pekee inaweza tumika kwa ajili ya voice kama utaingiza ishu za VoIP (Voice over IP). kwa ufupi hii ni teknolojia ya kupitisha signal za sauti katika data.

Hiyo ya tigo katika maeneo hayo unayosema yanaweza kuwa nayo 4G. Ishu ya speed haireflect na band kama ni fake 4G ama laa. Kupata full speed ya 4G kunategemeana na factor nyingi, nazo ni
1. Signal strength ya mawimbi eneo ulipo
2. Number of users allocated per channels na activities zao in a unit time.
3. Terrain ya eneo ulilopo.
 
theoretically speaking speed za 4G ni 100Mbps na kupanda juu na wala sio 42Mbps
42Mbps ni 3G speed
Pia nasikia 4G zimegawanyika sijui makundi mawili na nafikiri Tigo hai fall kwenye hizo Categories
Wakati smile wanatumia LTE ambayo ni candidate moja wapo ya 4G sasa sijui hiyo ya Tigo ni Wimax au LTE?
 
Hata kama ni 100Mbps huwezi ipata yote kama hizo factor nilizokuwekea hapo juu haziko fullfilled.
1. Kama chanel alocated ni moja, na ninyi watumiaji mpo 3 mnaotumia at same time, kila mmoja hawezi fikisha, simply mtagawana.
2. Kama quality ya signal ni mbovu, hata katika channel uwe peke yako huwezi fikisha 100Mbps
Nk
 
Back
Top Bottom