Naomba msaada wa ku-activate windows 8

Naomba msaada wa ku-activate windows 8

Afande Nyati

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
2,385
Reaction score
1,414
Habari wakuu mi ni mgeni katika window 8 nime install kama kawaida kwa Ku-copy, Kama mnavyojua kununua c mchezo.

Naomba kujuzwa jinc ya kuactivate iwe genuine ya muda mrefu.

Coz inaandika your license to use windows expires on 5/18/2015. Naomba mnisaidie jinsi ya kuactivate ya muda mrefu.
 
Habari wakuu mi ni mgeni ktk window 8 nime install kama kawaida ya Ku copy, Kama mnavyojua kununua c mchezo. Naomba kujuzwa jinc ya kuactivate iwe genuine ya muda mrefu. Coz inaandika your license to use windows expires on 5/18/2015. Naomba mnisaidie jinsi ya kuactivate ya muda mrefu.

yani ukiona mtu anachakachua windows basi huwa ana tabia kila ikitoka windows mpya anataka awe nayo.

mwezi wa 4 mwaka 2015 windows 10 itatoka hivyo usiwe na wasiwasi kabla hio haija expire nyengine itakuwa imeshatoka
 
Mkuu cjawah tumia window nyingine tofaut na 7 toka 2010, ila now nataka nitumie 8 cna mpango wa windows 10, km una msaada fanya ivyo mdau.
 
hio activator inavyoonekana ni ya siku 180, inamaana zikiisha hizo siku 180 ukiirun tena utapata siku nyengine 180 hivyo ieke mahali salama utakuja kuitumia tena.

usijaribu activator nyingine unaweza kumess na system ikawa haikubali activation yoyote
 
Asante mkuu.
 
Back
Top Bottom