poposindege
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 456
- 175
Nokia yatoa majibu kuhusiana na suala la iwapo itaendelea au itasita kuzalisha simu tena. Microsoft iliwahi kuchapisha madai ya Nokia ya kutozalisha tena simu za Smartphones baada ya kununua kampuni hiyo.
Lakini katika wiki kadhaa za hivi karibuni, kulizuka tetesi zilizozuwa gumzo kwa madai kwamba Nokia itaweza kutengeneza simu zake pia. Leo hii, Mkurugenzi Mkuu mpya wa Nokia Rajeev Suri ametoa maelezo ya kukomesha tetesi zilizotolewa kuhusiana na suala hilo.
CEO Rajeev Suri aliarifu ya kuwa hawatatengeza tena simu na kusema, "Tutarudi katika ulimwengu wa utumiaji badala ya utengenezaji."