Habari zenu wakuu,
Tafadhari naomben ushauri ninunue simu gani kati ya LG G2 na NOKIA LUMIA 830..
nimepta Mlimani city nimekuta bie ya LG G2 ni 645000 na ya LUMIA 830 ni 665000...
Habari wana jamvi,
Nina Tv yangu Samsung LCD flat 32inc, ina sehem ya USB lkn kwenye program zake ukiweka flash disk inasoma audio tu hakuna option ya kuona video. Nifanye nini kuweza kuona na...
11 - MAY
My dear friends, After a long span of time, I have come up with something new for you and hope that you will enjoy it. Today I will show you people the trick which will increase the speed...
Wakuu,
Nauliza kama kuna uwezo wa kudownload app kwenye simu halafu ukaificha mtu mwingine akichukua simu asiweze kuiona!mfano umedowload viber lakini mtu mwingine akichukua simu hawezi kuiona !
ASSALAAM ALYKUM/BWANA YESU ASIFIWE/ AMANI YA BWANA IWE NANYI
baada ya salam naomba kwa wale madj mnisaidie, kwa kawaida nikiwa nyumbani nikijipunzisha napenda
kutumia vitual dj kusikiliza na...
Hi
sasa kuna hii simu ya Samsung Win nimesoma tutorial za ku-root na the easiest niliyopata ni ya kutumia FRAMAROOT lkn kwangu inafail kwa exploits zote mbili ndani ya hii app
method ya pili...
31 - MAR
How are you dear viewers I hope that you will be in a charming mood. Today I will be sharing with you people how to trace the IP address of an online user using cmd. Most of the people...
icho kama kiringi mkononi mwa mdau apo juu ni "Bracelet cicret" kifaa ambacho kitafanya kazi sambamba na "Cicret app" ambayo uta install kwenye simu yako (kwa nielewavyo mimi)
"Bracelet...
Habari wapendwa!
Hivi Windows Phones(Nokia Lumia) nazo zina clones zake kama ilivyozoeleka kwenye Android Phones kama Samsung etc?
Nnampango wa kuchukua Nokia Lumia once, ila sifahamu kama...
wakuu natafuta note 2 second hand(isiwe mbovu), nna 350,000
na pia nikipata s3 used kwa 300,000 ntachukua!
nipo Dar, kama kuna anayeuza aniPM
Note: kabla sijainunua nitakuja na mtaalam wangu...
Scientists urge governments to turn old TV frequencies into free "super WiFi"
Governments should sack plans to auction off old television frequencies to the highest bidder and instead use the...
Mim ni mmoja wa watumiaji wazuri wa hii sim ila yangu n tofauti kidogo, iko telstra branded kitu kinachonikera ni pale ninapojaribu kuinstall uc browser for android inagoma(haiinstall) inasema...
Habari wanajamvi, natumia TECNO P5 lakina ni wiki ya 2 sasa nashindwa ku-update apps, kila nikijaribu napata ujumbe unaosema "No sufficient space on your device" wakati huo memory card yangu ina...