Maswali yangu
1) Ni Kampuni gani inaweza kunitungia Fibre au huduma ya internet kwangu ambayo Ni affordable zaidi
2) Je, kifurishi au package kwa mwezi inakuwaje
3) Je, idadi ya watumiaji ikiwa...
Habarini ndugu zangu
Niende kwene mada,nina simu yangu ambayo kutokana na uwezo wake kuwa mdogo niliamua kununua memory card Ili niweze kuongeza storage katika simu yangu.Nilipoweka hio memory...
Binafsi najifunza programming just for fun and enjoyment ya kupata maarifa mapya.
Nimeanza na HTML pamoja na CSS kadri siku zinavyoenda tutapeana updates ya jinsi darasa linavyoenda.
Site...
OpenAI, the creator of ChatGPT is back with a new text-to-video AI generator Sora. It can create videos of up to 60 seconds featuring highly detailed scenes, complex camera motion, and multiple...
Ni vitu gani nizingatie nikiwa nanunua router kwa ajili ya matumizi ya ofisi kwa wastani wa watumiaji 300?
Naomba msaada ni jinsi gani naweza kuziona hizo specification.
Hakikisha unatumia vidokezo hivi vya Android ili upate mengi zaidi kutoka kwenye kifaa chako. Idadi kubwa ya mbinu na vidokezo vyenye manufaa vilivyofichwa ndani ya vifaa vya Android ni sehemu...
Niaje wananzengo?
Direct to the point.
Kwa wale waumini wa apps ambazo zinahitajika kufanya manunuzi ili upate baadhi ya huduma, karibuni sana hapa.
Utapakua apps unazozitaka na hata games...
Habari WanaJF,
Nimeandaa hii tutorial kuwasaidia watu wenye ofisi ndogo ndogo na watu binafsi ambao wanataka kuwa na website kwa ajili ya biashara zao au matumizi binafsi lakini kutokana na...
Habari wadau,
Matangazo kwangu mimi yamekuwa kero kubwa sana. Yaani huwezi fanya jambo bila kukutana na adds, apps ambazo haina adds ni Whatsapp, Insta na X. Zingine kufungua kabla hujafanya...
Siku za hivi karibuni imetokea ajali ya treni mkoani Morogoro, ajali hii imehusisha basi dogo aina ya coaster linalofanya safar zake Kihonda - Mjini na treni la abiria linalofanya safari za Dar -...
Posta inakwama wapi??
Katika pita yangu mtandaoni mwezi wa 3 mwishoni nikadownload App ya posta ukweli huduma za posta nazihitaji na hapo awali nilikuwa nikitumia sanduku la rafiki yangu katika...
Kwa sasa, vifaa vingi ambavyo vinatumia port ya USB Type C ambazo ni latest, zinatumia aina ya USB Type-C 3.2 ambayo ina Max speed ya 20GB kwa sekunde. Teknolojia inazidi kubadilika na dunia...
Habari za mida,
Naomba kusaidiwa router gani ni nzuri kwa matumizi ya taasisi ambayo inakuwa na watumiaji 500 kwa mara Moja wakiwa connected kwa wired na wireless?
Na kipi natakiwa kukiangalia...
Mambo vipi bloggers
Kwa miaka kadhaa nimekuwa na blogs ninazoziandikia kimombo, sasa najikuta natamani kumiliki blog ya kiswahili.
Lengo langu nipate visitors 2M kwa mwezi kupitia SEO mana bongo...
Wakuu nilipata wazo la kutafuta Cv za watu maarufu duniani na kutengeneza blog ili baadae nije niiunganishe na adsense .
Blog yenyewe ni hii hapa www.worldfamousresumes.blogspot.com nimetafuta...
Habari zenyuu,,
Hivi karibuni nimekuwa nikiexperience kufutika kwa Namba za Simu nilizokuwa nimesave kwa Truecaller,
kila ukisave upya badae hukuti jina ukibahatika unakuta namba tupu kwenye chati...