Msaada: Jinsi ya kupangilia kitabu

Msaada: Jinsi ya kupangilia kitabu

fredie92

Senior Member
Joined
Oct 30, 2012
Posts
133
Reaction score
32
Wakuu !

Naomba msaada wa jinsi gani naweza kupangilia kitabu ili kiwe tayari kwa ku-print? nataka kiwe kwenye size ya A5. Nimeshakiandika katika microsoft word sasa kukipanga kwa pages nifanyeje ?

Naomba utaalamu wakuu !

Buggy
 
Sasa hapo kitakuwa kitabu! uandike uhariri na uprint mwenyewe! nenda kwenye kampuni zinazohusika.
 
tumia publisher uigawe mara nne..kisha weka tex box, duplicate hizo page kwa kuangalia kitatoka page ngapi yalink hayo matex box kisha paste kwenye tex box la kwanza...
 
Mkuu nataka kukipanga tu, ili nipunguze cost then wataalam wakahariri na ku-print ni kampuni itapewa! sina uwezo huo. Labda kusoma haujui, aliyezungumzia habari za kuhariri nani? Kama hauna cha kuchangia ungepita kimya kimya...

wengi wamepita! Ila asante kwa mchango wako pia! (Wazo lenye pumba kuna point imejificha)
Sasa apo kitakuwa kitabu! uandike uhariri na uprint mwenyewe! nenda kwenye kampuni zinazohusika
 
tumia publisher uigawe mara nne..kisha weka tex box, duplicate hizo page kwa kuangalia kitatoka page ngapi yalink hayo matex box kisha paste kwenye tex box la kwanza...
Asante mkuu!!! Nime-kuinbox namba yangu naomba uni-sms nikupigie! Shukrani!
 
Mkuu nataka kukipanga tu, ili nipunguze cost then wataalam wakahariri na ku-print ni kampuni itapewa! sina uwezo huo. Labda kusoma haujui, aliyezungumzia habari za kuhariri nani? Kama hauna cha kuchangia ungepita kimya kimya...

wengi wamepita! Ila asante kwa mchango wako pia! (Wazo lenye pumba kuna point imejificha)

kuwa mpole pind unapoomba msaada barabaran kwan wanapita watu wa aina mbalimbali, ivyo usitegemee positive response! kwan hata walev pia watapita etc..
 
Kitu cha muhimu lete kwetu tukufanyie setting kwani ukifanya wenyew uenda hujui vipimo vya kusetting utaboronga tu wewe toa hela upate hela

lete ofisini kwetu tutakupangia na kukichapa kitabu chako ni budi mwanzo ugharamie ili upate kitu kizuri mkuu

wakuu !

Naomba msaada wa jinsi gani naweza kupangilia kitabu ili kiwe tayari kwa ku-print? Nataka kiwe kwenye size ya a5. Nimeshakiandika katika microsoft word sasa kukipanga kwa pages nifanyeje ?

Naomba utaalamu wakuu !

buggy
 
Back
Top Bottom