Naomba msaada wa ku-update Iphone 3g

eliasy

JF-Expert Member
Nov 9, 2012
455
51
Nina iphone 3gs, nikidownload applications kama facebook, whatsapp na nyinginezo zinakataa. inataka ni update kwenda version ya 4. msaada plz ktk ku update
 
Install iTunes kwenye PC, hakikisha PC ina internet, unganisha iphone na PC kwa cable, ngoja simu iwe recognized kwenye iTunes fanya update ya simu kupitia iTunes, utapata version 6 kama sikose, ni download kubwa kam 1 GB so hakikisha una internet ya maana. Ni vizuri kuhakikisha umefanya backup ya simu yako kabla, hili pia unaweza kufanya kupitia iTunes.
 
Nina iphone 3gs, nikidownload applications kama facebook, whatsapp na nyinginezo zinakataa. inataka ni update kwenda version ya 4. msaada plz ktk ku update

fanya kama Kang alivyosema pia unaweza download manual hyo firmware ya simu yako kwa kusearch online sawa pia huwezi kuweka firmware kwenye simu yako bila kujail break maana ukijaribu bila kufanya hivyo hutotumia simu yako tena mpaka unalize installation so lazima ujail break kwanza sababu unatakiwa udowngrade ipad baseband then uirudishie
 
Last edited by a moderator:
Ku update hiyo simu kwenda kwenye ios 4 ni kazi na inahitajika utaalam kidogo na kudownload hiyo ios just google ipsw kisha angalia hiyo ios ndio utaipata hapo kwa kutumia itunes hutaipata download kwanza hiyo ios maelekezo yatafata ukishamaliza
 
Nenda settings,general,about kwenye simu yako utaiona hapo hiyo
 
Nina iphone 3gs, nikidownload applications kama facebook, whatsapp na nyinginezo zinakataa. inataka ni update kwenda version ya 4. msaada plz ktk ku update

Usisumbuke rafiki
iOS za sasa kwanzia 5.1 mpaka 8.1.1 zinasupory from iphone 4s and above, from ipad2 and above from ipo 2ndGeneration and above so kama inapenda kua na latedt version ya iOS better buy a compatible iphone
 
iPhone 3gs mwisho wake ni ios4,2,1 ambayo haikibali apps nyingi sana kama whatsap nk
My opinion tafuta walau kuanzia iphone 4s
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom