Button za laptop zime-stuck naomba msaada

Nyendeke

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
1,552
2,844
Poleni na Majukumu Wakuu,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, lap top yangu aina ya Sony imestuck button zote kasoro pale kwenye Mouse yake so sijajua ni tatizo gani hasa na ni brand new haijawahi kufunguliwa hata siku moja,

msaada tafadhari kwa mwenye uzoefu wa vitu hivyo!
 
Option ya kwanza angalia hapo kwenye keyboard hua kuna key flani inaonyesha mouse ila imewekewa x ikimaanisha ukiigusa utakua umeswitch off mouse
Cha kufanya hold shift na bonyeza hyo key.

Option ya pili toa betri ya laptop yako na kuirudishia na kuiwasha ili ianze kuwaka upya.

Option ya tatu izime laptop yako kwa kutumia ile power button.
Ukishindwa zote hizo leta mrejesho
 
Nashkuru kaka kwa ushauri wako, then option 1&2 nshazijaribu, ila bado bla bla so ntachek hyo option no 3, pia wife anadai aliosha na spray za kuoshea Dashboard je, inaweza kua tatizo Mkuu?
 
Labda kama keyboard ilipata athari ya maji inaweza kua tatizo.
Sina idea nyingine labda ningekua nayo mimi ningejaribu kuhangaika nayo kwa kutumia think fit method.
 
Back
Top Bottom