Naomba msaada "this connection is untrusted" Error, kwenye web browser

ISLETS

JF-Expert Member
Dec 29, 2012
8,133
2,000
Hellow guys, poleni na majukumu....tatizo langu huwa nikiingia internet nikitaka kufungua website yoyote hata ya Google.com huwa inaishia njiani na kuandika ujumbe "this connection is untrusted" na maelezo mengine mengi kwa chini This Connection is Untrusted

You have asked Firefox to connect securely to ne1-attach.mail.yahoo.com, but we can't confirm that your connection is secure. Normally, when you try to connect securely, sites will present trusted identification to prove that you are going to the right place. However, this site's identity can't be verified.

What Should I Do?

If you usually connect to this site without problems, this error could mean that someone is trying to impersonate the site, and you shouldn't continue.

Technical Details

internet Connection ipo Ok sasa sijui tatizo ni nini,,, Ninatumia Mozilla Firewox Browser,,,naombeni msaada hili tatizo niliondoaje na mimi sio mjizi sana wa mambo ya computer
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom