Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,372
- 12,479
ZA JIONI WANA JF..
Computer yangu inasema *no battery detected* wakat betri imo,. yan sa iv kila kitu kiko slow
-kuwaka
-ku-open files
-deleting
-ku-install programs
na mengineyo yote. Nsaidien maujuzi yenu kusov hii tatizo
WATAALAMU..
akina Mwl.RCT , Njunwa Wamavoko na wengineo mlango wa mawazo uko wazi...
natangul za shuklani