Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Heshima kwenu wataalam! nambeni kuongezewa utaalamu jinsi ya kufuta Private messages inbox. Nimejaribu kutafuta lakini sifanikiwi kuipata hyo option ya kudelete. Natanguliza shukurani zangu kwenu!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari Wakuu, Kuna mzigo nimeorder toka ebay na leo nimepata notification kuwa umetumwa. Sasa swali langu ni kuwa NAPATAJE MZIGO wangu pale utapofika endapo Shipping address niliyoweka HAINA...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Uhuru wa mtandao kudhibitiwa Rais Barack Obama ametoa wito wa kuwekwa sheria kali za kudhibti matumizi ya mitandao huku waziri mkuu wa Uingereza David Cameroon, akitoa ombi kwa mitandao kama...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hello wana Jf, Natumia dish la Zuku. Naomba kujuzwa kuhusu amos5 maana nimepewa frequency nikaambiwa iwe kwenye amos5. Thanks
0 Reactions
0 Replies
856 Views
Mbona kwenye windows phone 920 yangu application ya jamiiforums haipatikani? Hata niki search kwenye application stores inakataa.haya msaada tafadhali wajuzi
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimepata kusoma na kusikia kutoka vyanzo kadhaa kwamba astronauts huwa wanakwenda kwenya ISS na kufanya matengenezo (repairs) pale inapohitajika. Huenda wanaanga walio ndani ya ISS ndo hutoka na...
0 Reactions
0 Replies
695 Views
Nimesahau email password ninayotumia kwenye google account zangu ikiwemo playstore hivyo nikaamua kufuta account niliyokuwa natumia zaman ili niweze ku~create account mpya,hivyo nikafuata steps...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Inasema error, Core/ Activation.dll is mising from your computer. Nimeshadownload izo activation ila tatizo liko palepale.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naombeni mnisaidie kama naweza kipata kioo cha vodaphone 785 kwa dar maana iringa hakuna
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta kioo cha hiyo simu tajwa hapo juu
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana JF napenda kwa aliye na uzoefu wa simu hizi anifahamishe yenye speed ya kudownload,na ina internal memory ya +50MB
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Habarini wanajamii?Nina laptop yangu ambayo ina window 8 lakini yapata wiki sasa nikiweka modem haifanyi kazi na badala yake inaniandikia "activate window"Sasa niki crick neno activate inanigomea...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nina simu yangu ni galaxy s3 mpya nimeitumia kwa wiki moja...leo kuanzia saa nane imekata mtandao ghafla hadi muda huu natumia voda na wengine wanapatikana kama kawaida kwenye simu zao kwa mtandao...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi yahoo mail hawana option ya kuhifadhi picha (Photo albums) km Gmail? Nina acount ya yahoo lakini sijafanikiwa kuona option ya kuhifadhi picha zingine zaidi ya profile photo. Naomben mnisaidie
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa wale wapenzi wa mambo ya kuchugulia angani..kupatwa kwa jua/mwezi, kuangalia nyota/satellite na mambo mengineyo angani najua watakuwa wanajua hii. Ila kwa wale wasiojua na wanapenda kujifunza...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Niaje, wanajamvi. Mimi na shida na movie, nimekuja humu maana najua watu ambao wapo updated sana wapo humu. movie za action, Science na fiction, ZA kutisha, STory, yani zozote mimi nipo adicted...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Heshima mbele Daima... Wanabodi naomba msaad tutani wakuu nimedownload software fulani kwa ajili ya kumanage prject zangu binafsi sasa ili iweze ku-run nahitaji niweke SQL Server 2012. sasa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Simu hii ina sifa zifuatazo 1. Ina mfumo wa internet wa 2G 2. Ina camera ya 0.3MP (VGA) 3. Ina 2 inch qvga lcd (320×240 pixels) 4. 8MB RAM 5. Chaji ni siku 29 standby.. siku 27 standby (dual sim)...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Kwa mwenye uzoefu mzuri na Toyota Vitz model mpya ya kati ya mwaka 2005 - 2008. Nimeangalia kwenye mtandao wa Beforward kuna Model Code kama za aina tatu tofauti. Model Code hizo ni: 1...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Salamu wakubwa, Naomba msaada printer tajwa hapo juu ilikuwa inafanyakazi vizuri, lakini iliposafirishwa toka imefika TOUCH haifanyikazi ( in display lakini hakuna response ninapotaka kuitumia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…