Msaada kwenye Windows phones

Msaada kwenye Windows phones

karugila

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2014
Posts
1,275
Reaction score
687
Mbona kwenye windows phone 920 yangu application ya jamiiforums haipatikani? Hata niki search kwenye application stores inakataa.haya msaada tafadhali wajuzi
 
Hakuna app ya JF Windows Phone ila unwaweza kuinstall app ya tapatalk kisha search fro jamiiforums ndani ya hiyo app.
 
Asante imekubali.we kiboko
 
Back
Top Bottom