Msaada wenu tafadhali wanaJF

Msaada wenu tafadhali wanaJF

B.4really

Senior Member
Joined
Jan 30, 2013
Posts
199
Reaction score
89
Nimesahau email password ninayotumia kwenye google account zangu ikiwemo playstore hivyo nikaamua kufuta account niliyokuwa natumia zaman ili niweze ku~create account mpya,hivyo nikafuata steps zote lakin mwishoni inaniambia..."the username b.4really@gmail.com" isn't available....hivyo msaada wenu unahitajika wakuu kwa maisha ya simu yangu na aina ya simu ni huawei330.
 
Ulifanya factory reset..? Hiyo new email iko hai...?
 
Daaahhh!!
imegoma aisee..

Kuna watu wengi wanapotoshana sana kuhusu hizi Android Smartphones, yaani kukitokea tatizo dogo mnashauriana kureset simu.
Ishu ni kwamba unapofungua email ile username yako hutoitumia tena utakapotaka kufungua, na hata mtu mwingine akitaka kuitumia hiyo username haitaweza kutumika kwa kuwa inexist kwenye google servers na database. Kwa hiyo kama utapenda kutumia username hiyo itabidi uongeze baadhi ya herufi au namba kufanya hiyo username iwe unique.
Kwa mfano, mtu akajisajili email kwa kutumia username ya "justjose@gmail.com" username hii haitotumika tena. kwa hiyo mtu nwingine atakapotaka kutumia username hii wakati wa kujiandikisha email hii, atalazimika kutumia username nyingine au akaongezea tarakimu katika username yake ili iwe ya kipekee.
 
Umenena vyema mkuu but tatzo langu ni kujarib kufungua username mpya lakin hairespond kabisa accordinglly to nilichoandika hapo juu...
 
Daaahhh!!
imegoma aisee..

Mbona una nafasi ya kupata password yako iliopotea kuliko kutengeneza email mpya kila.

Nenda sehemu ya login, usiandike details. Chini ya sehemu pa kujazia password pameandikwa need help, bofya then utasema umesahau password, watakwambia uandike email yako, ukimaliza watakuuliza password ya mwisho unayokumbuka, utasema sijui. Watakuuliza wakukumbushe kwa kutumia text au wakupigie, utachagua unayopenda then watakwambia code ambayo utaijaza kuchagua password mpya. Maelezo yanaonekana marefu lakini ni steps rahisi sana zinazojieleza zenyewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom