Msaada : Touch ya Printer ( canon iR5870 ci ) haifanyi kazi

Msaada : Touch ya Printer ( canon iR5870 ci ) haifanyi kazi

VIKWAZO

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
1,900
Reaction score
583
Salamu wakubwa,
Naomba msaada printer tajwa hapo juu ilikuwa inafanyakazi vizuri, lakini iliposafirishwa toka imefika TOUCH haifanyikazi ( in display lakini hakuna response ninapotaka kuitumia kutuma command kwenye printer)

1. Kwa mwenye kujua shida ni nini? ushauri wa nini cha kufanya
2. kama kuna mtu anaweza kuwa na control panel ya Canon iR5870 ci ( yaweza kuwa panel yote au touch screen)

Mpaka sasa sijajua kama imekufa au ni software hii, je naweza jua vipi ni software au hardware problems? au mwenye utaalamu huo

Natanguliza shukurani

IMG_3634.JPG
IMG_3633-1.JPG
 
Back
Top Bottom