Msaada wa ku-activate window 8

Msaada wa ku-activate window 8

Rmma

Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
67
Reaction score
5
Habarini wanajamii?Nina laptop yangu ambayo ina window 8 lakini yapata wiki sasa nikiweka modem haifanyi kazi na badala yake inaniandikia "activate window"Sasa niki crick neno activate inanigomea kwa vile internet haifanyi kazi, badala yake inaniambia ni activate kwa simu.

Kuna namba ya bure waliyotoa lakini kila nikipiga naambiwa namba ninayopiga haitambuliki.Wadau wa jamvini naombeni ushauri wenu nini cha kufanya ili niendelee kuiitumia hii laptop yangu?
 
kama unasimu yenye wi-fi unganisha internet kupitia simu,kisha endelea ku activate
 
Kaka na mimi natatizo kama la mwenzangu naomba msaada ya jinsi ya kuactivate window 8.1 ,Serial namba ntumie hata kwa sms 0689744743

Habarini wanajamii?Nina laptop yangu ambayo ina window 8 lakini yapata wiki sasa nikiweka modem haifanyi kazi na badala yake inaniandikia "activate window"Sasa niki crick neno activate inanigomea kwa vile internet haifanyi kazi,badala yake inaniambia ni activate kwa simu.Kuna namba ya bure waliyotoa lakini kila nikipiga naambiwa namba ninayopiga haitambuliki.Wadau wa jamvini naombeni ushauri wenu nini cha kufanya ili niendelee kuiitumia hii laptop yangu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom