Naomba msaada Tatizo la shipping address Ebay

Proud Patriot

JF-Expert Member
Oct 13, 2010
224
10
Habari Wakuu,

Kuna mzigo nimeorder toka ebay na leo nimepata notification kuwa umetumwa. Sasa swali langu ni kuwa NAPATAJE MZIGO wangu pale utapofika endapo Shipping address niliyoweka HAINA P.O.Box bali ina Jina Kamili na namba ya simu. Na sehemu ya zip code nimeweka zile za TCRA japokuwa sina uhakika kama ziko helpful sana.

Kwa hiyo, Nii kwamba Ile Zip Code niliyoweka wataichukulia kama P.O Box au Ni kwamba mzigo ntauchukua at some office ambayo watanipigia simu pale utapofika?

Shipping method ni STANDARD INTERNATINAL FLAT RATE SHIPPING.
 
Duh ungeuliza mapema kabla hujaagiza utakaeenda kwake labda awe na rohi nzuri kukupa na bongo hakuna zip code
 
Habari Wakuu,
Kuna mzigo nimeorder toka ebay na leo nimepata notification kuwa umetumwa.
Sasa swali langu ni kuwa NAPATAJE MZIGO wangu pale utapofika endapo Shipping address niliyoweka HAINA P.O.Box bali ina Jina Kamili na namba ya simu. Na sehemu ya zip code nimeweka zile za TCRA japokuwa sina uhakika kama ziko helpful sana.

Kwa hiyo, Nii kwamba Ile Zip Code niliyoweka wataichukulia kama P.O Box au Ni kwamba mzigo ntauchukua at some office ambayo watanipigia simu pale utapofika?

Shipping method ni STANDARD INTERNATINAL FLAT RATE SHIPPING.

Una tracking #?
 
Back
Top Bottom