Nitawezaje Kuhifadhi picha kwenye yahoo mail

Nitawezaje Kuhifadhi picha kwenye yahoo mail

Mnyalu Junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2012
Posts
573
Reaction score
200
Hivi yahoo mail hawana option ya kuhifadhi picha (Photo albums) km Gmail? Nina acount ya yahoo lakini sijafanikiwa kuona option ya kuhifadhi picha zingine zaidi ya profile photo. Naomben mnisaidie
 
Yahoo hawana kwa sababu wanatumia one drive (sky drive)
 
Ahsante nashukuru kwa kunijuza, nilidhani wapo km Gmail ambao unaweza ukaapload picha za kutosha.
 
Mkuu sijajua exactly unataka nini, lakini kama una acc Yahoo basi wanayo huduma ya ku upload na kuhifadhi pic zako kwenye flickr
 
Mkuu sijajua exactly unataka nini, lakini kama una acc Yahoo basi wanayo huduma ya ku upload na kuhifadhi pic zako kwenye flickr

Namaanisha kuhifadhi picha nyingi katika albums/timelines km ilivyo kwa gmail au facebook. Nikitaka kuhifadhi kwenye flickr naanzaje. Your help plz!
 
Back
Top Bottom