Mu-sir
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 3,621
- 1,640
Heshima mbele Daima...
Wanabodi naomba msaad tutani wakuu nimedownload software fulani kwa ajili ya kumanage prject zangu binafsi sasa ili iweze ku-run nahitaji niweke SQL Server 2012. sasa kimbembe ni hiyo SQL nimejaribu kuidownload mar kadhaa lakini wapi napata error message na mimi niko mbali na mjini siwezi kupata mtu wa IT haraka akanisaidia.
Kila nikijaribu kuieweka inanipa message hii hapa chini. Nimejaribu SQL SP1 na SP2 zote ni the same message. Natumia Widows 7 proffessional 64bit.
Natanguliza shukrani.