Space walk na International Space Station

Space walk na International Space Station

mafutamingi

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2011
Posts
2,775
Reaction score
2,198
Nimepata kusoma na kusikia kutoka vyanzo kadhaa kwamba astronauts huwa wanakwenda kwenya ISS na kufanya matengenezo (repairs) pale inapohitajika. Huenda wanaanga walio ndani ya ISS ndo hutoka na kufanya matengenezo hayo. Katika kufanya zoezi hilo huwa inawabidi kufanya space walk. Swali langu ni kwamba wanamudu vipi kufanya zoezi hilo wakati hicho chombo kinakwenda mwendo kasi sana - kiasi cha kuweza kuzunguka dunia kwa dk 90? Au huwa wanakisimamisha hicho chombo?
 
Back
Top Bottom