Nina simu yangu ni galaxy s3 mpya nimeitumia kwa wiki moja...leo kuanzia saa nane imekata mtandao ghafla hadi muda huu natumia voda na wengine wanapatikana kama kawaida kwenye simu zao kwa mtandao huu huu wa vodacom....
nimejaribu kusearch kwenye network operator ila bado haionyesh...anaejua plz anisaidie
nimejaribu kusearch kwenye network operator ila bado haionyesh...anaejua plz anisaidie