Tatizo ni nini kwenye hii code?

Tatizo ni nini kwenye hii code?

Mgumu04

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2011
Posts
1,943
Reaction score
1,059
Husika na kichwa cha habari,

Hapo nimetengeneza programu ya mtu anaingiza muda amabao anafanya kazi na kima kwa kutumia python lengo ni kupata gross salary, niki run programu haina error haitoi output naomba msaada wenu hapa jamvini.

Code:
import math

n=0
name=raw_input("enter ur hours for working\n")

salar=raw_input("enter the rate\n")

gdp=0

gdp=n*salar

print gdp
 
import math
n=0
name=raw_input("enter ur hours for working\n")
salar=raw_input("enter the rate\n")
gdp=0
gdp=n*salar
print gdp

Mkuu hii code yako mbona ina mambo aisee, kwanza huna haja ya kuimport math sababu hamna function yoyote uliyotumia kutoka kwenye hiyo library, pili umedeclare n=0, gdp=0; afu gdp=n*salar, salar ambayo ni 0*salar manake gdp ni zero... Afu print inafuatiwa na brackets "print()"

Kama nimekuelewa vzr unachotaka kucalculate ni hours*rate ya saa moja ili upata hela anayotakiwa kulipwa kwa hayo masaa, tusema analipwa 10K kwa saa then unataka ujue kwa masaa kumi na mbili, then program itakua kama ifuatavyo...

Code:
/*Simple Calculator*/
            
            working_hours = int(input('How many hours do you work: '))
            salary_per_hour = int(input('Your rate per hour: '))
            print (working_hours*salary_per_hour)

//function ya input ni Python 3+, python version chini ya hapo unatumia raw_input
/*********************/


Nitakushauri uanze kusoma python upya anzia mwanzo kabisa, fungua youtube kuna playlist nzuri tu naweza kupa recommendation, anza upya step by step, ukimaliza uingie kwenye vitabu...
 
Back
Top Bottom