Willy Gamba 1
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 352
- 377
Wanajamvi sijui kama tatizo hili lipo kwangu tu au na nyie limewakuta. Kila nikijaribu ku-log in inaonekana kukubali na inafikia hadi pale napoambiwa welcome Willy Gamba 1 then inaendelea ku-load halafu ghafla tena nashangaa inakuja sehemu ya ku-log in.
Tatizo nini? Msaada wakuu
Tatizo nini? Msaada wakuu