jov
Senior Member
- Aug 20, 2012
- 121
- 9


Nilikuwa natumia application inayoitwa ' lock box' kuweka taarifa za muhimu ambazo sikutaka kula MTU anaetumia computer yangu asiweze ku access taarifa na documents zangu za muhimu.
Jana nilikuwa Nina add folder lenye vitu ndani na nili right click nukapata option imeandikwa '' protect with my lockbox nikaibofya baada ya hapo liliingia hilo folder na folder zote zilizokuwemo ndani zikawa hazionekani tena.
Naweza kufanyaje ili zirudi japo Kwa Jana hiyohiyo nilifanya System restore lakini sikufanikiwa .