mtu muhimu
Member
- Aug 13, 2014
- 55
- 6
Nina tv ya kichina kioo chake kinaonesha picha za kupauka, ukiwasha ina rangi ya blue iliyopauka halafu maandishi yana kivuli hayasomeki vizuri.
nimejaribu kufunga saketi mpya lakn bado tatizo lipo pale pale.
Naomba msaada wenu wakuu, kama kuna uwezekano wa kurekebisha rangi kwenye kioo chenyewe.