wakuu naomba msaad jinsi gani nitaweza ku copy crack folder into directory..hii ni baada ya kujarbu ku crack idm naambiwa ni copy clack folder to directory...
copy hyo crack kwenye c://programs files/idm then paste
Iweke kule ambapo ume-install hiyo program yako ya IDM
Iweke kule ambapo ume-install hiyo program yako ya IDM
nikiweka kweny idm kule inagoma ku copy..inasema imekua interupted
ili kuweka kitu kwenye program files inabidi uwe na administrator privilege hivyo make sure
1.umelog in kama admin
2.hutumii software za kucopy
ok mkuu labda hii super copier ndo inaleta shida..ngoja nijarbu ku deactivate nione.
Pia disable ur antivirus
ili kuweka kitu kwenye program files inabidi uwe na administrator privilege hivyo make sure
1.umelog in kama admin
2.hutumii software za kucopy