Msaada kutoa password kwenye computer

Msaada kutoa password kwenye computer

lukac

Senior Member
Joined
Apr 8, 2012
Posts
122
Reaction score
35
Kuna dogo alikuwa anatumia computer yangu,sasa katika utundu wake akawa ameweka password na kwa bahati mbaya haikumbuki hiyo password. Sasa naomba msaada wenu wa jinsi ya kutoa hiyo password maana kuna docs zangu za muhimu.
 
Ok hiyo password ipo kwenye windows au bios,

Kama ipo kwenye bios pigisha short jumper zake au ondoa cmos battery kama 1minutes then replace it, kama ipo kwenye windows tumia herens boot cd unaiondoa vizuri haina haja ya kubadili operation system. Ukikwama nicheki kwa 0784234391, expert computer technician.
 
Ok hiyo password ipo kwenye windows au bios, kama ipo kwenye bios pigisha short jumper zake au ondoa cmos battery kama 1minutes then replace it, kama ipo kwenye windows tumia herens boot cd unaiondoa vizuri haina haja ya kubadili operation system. Ukikwama nicheki kwa 0784234391, expert computer technician.
Hii ndiyo password nilikua naona iko strong sasa sijui ntaweka tena password gani!!
 
Sema tu upo mbali ungekuwa karib ningekusaidia..kwa password cracker
 
Back
Top Bottom