Jamani kila nikichomeka drive yoyote ile kwenye computer yangu iwe ni flash, memo. card, hdd na hata modem nakuta folders zote zilizo kwenye drive husika zimebadilika na kuwa shortcuts.
Tatizo hili linatokea pia nikichomeka hardware kama mouse na printer nnakuta hazifunction vizuri kwa maana device zinakuwa detected lakini kama ni printer haiprint na tatizo sio la drivers kwa sababu ninauhakika na hizi drivers ndizo nlizokuwa natumia mwanzo kabla ya tatizo hili kujitokeza, pia hata modems nazo zilikuwa zinadetect lakini haziconnect.
Kuna mtu aliwahi kunishauri niupgrade windows nikabadilisha kutoka vista kwenda windows 7 professional, kwa kufanya hivyo nimefanikiwa kutatua tatizo la modem sasa modem zinapiga kazi vizuri lakini bado printer na memory drives (flash, memo, hdd) zinamatatizo yaleyale.
WanaJF, naomba msaada kwa mtu yeyote anayeweza kunipa permanent solution ya hili tatizo.
Sio mbaya pia mtu mwenye keys za kuactivate win 7 professional akanipatia pia, kwa sababu hii copy nlionayo sio genuine.