Nitawezaje kutazama mpira online?

ngakotecture

JF-Expert Member
Dec 30, 2014
2,440
2,543
Wadau wa JamiiForums naomba mnijuze au mnipe wavuti wa kutazama online football especiaally uefa leo.

Natanguliza shukrani zangu kwenu greats thinkers.
 
Achana na hizo zinazofanya buffering mie mwezi wa 3 sahv nachek mech nikiwa kitandani kwenye simu tu live bila chenga mechi yoyote ile kama una android phone download latest version ya adobe flash player for android then tumia browser mf dolphin au hata chrome link ni goATD.net
 


Achana na hizo zinazofanya buffering
mie mwezi wa 3 sahv nachek mech nikiwa kitandani kwenye simu tu live bila chenga mechi yoyote ile kama una android phone download latest version ya adobe flash player for android then tumia browser mf dolphin au hata chrome link ni goATD.net

Ungempa ushauri bila kumwambia aachane na ushauri wa wadau wengine. ni vema pia ukamwambia afanyeje baada ya kuachana na hizo...afu hana android phone.
 
Back
Top Bottom