Tatizo la display kwenye desktop, naomba msaada

Tatizo la display kwenye desktop, naomba msaada

raskaka

Member
Joined
Feb 22, 2014
Posts
74
Reaction score
12
samahan wadau nimefanya setting ya display ya cpu inagoma kuonyesha kwenye monitor natumia window7 computer desktop hp nikiwasha inawaka ila haionyeshi kwenye display
 
samahan wadau nimefanya setting ya display ya cpu inagoma kuonyesha kwenye monitor natumia window7 computer desktop hp nikiwasha inawaka ila haionyeshi kwenye display
  • Itakuwa umeweka screen resolution amabyo haiko supported na hiyo monitor.
  • Chakufanya tumia monitor nyingine , unga hiyo CPU, kisha rudisha resulution angalau iwe 1024*760
 
da nikwel hiv hakunaga comand za kutumia kwenye keybord iliiwake nakufanya setting
 
Change resolution kwenye monitor weka ndogo kuliko zote kisha restart kwa safe mode na change resolution.
 
Back
Top Bottom