Vipi wenzangu mnapiganaje na gharama za mawasiliano ya simu?
mwenzenu natumia si zaidi ya 400 kwa siku! kwa mwezi natumia 11,000 tu😅😅
Baada ya hapo naunga sms za buku siku 30
Simu zetu hizi za android zina vitu vingi sana hatuchaguliwi cha kutumia, updates zake nazo sometimes huwa zinakuwa complex kidogo.
Ukiona kuna update kwenye simu yako, dont rush !! Tulia na...
WanaJF hivi Stabilizer pamojq na TV guard ni vifaa ambavyo vinaweza kukinga vifaa vya umeme kwa Uhakika kama Tv 'Radio' computer' hasa pale umeme unapozidi au radi? ushauri tafadhali ni Stabilizer...
Habari wana JF?
Battery yangu ya solar imekuwa ikipoteza nguvu ndani ya masaa mawili baada ya kuwa full charged, ni battery ya maji (acid) na pia nimeshawahi kuiongezea maji(acid) mara mbili kwa...
Eurotunnel, ambayo pia inajulikana kama Channel Tunnel, ni mfereji wa reli chini ya Bahari ya Kiingereza ambao unaunganisha Uingereza na Ufaransa. Hii ni miundo mikubwa ya uhandisi iliyopo...
Kitabu kinaitwa THE LOST BOOK OF HERBAL REMEDIES ( by Claude Davis and Dr. Nicole Apelian)
Dah nakihitaji Sana. Wataalam wa ku cheza na kuchekecha mambo hamuwezi mkanisaidia aisee ni fanye free...
Habari za majukumu wakuu,
Nilikuwa natumia watsapp mods (Fouad mods), lakini ghafla ilianza kuwa na version nyingi nikaamua kuhamia watsapp official kuanzia majuzi, nilifuta Fouad mods...
Happy union day everyone!
Leo nimewaza hiki kitu nikaona si vibaya kushare kinaweza kumsaidia mtu mahali.
Hivi ulishajiuliza incase umepata emergency yoyote mahali, ikatokea hujielewi, watu...
Habari Wana jukwaa
snipa white hacky "SWH" ni kikundi Cha vijana kinachojihusisha na kuangalia udhaifu wa website pamoja na system mbalimbali ili kuweza kugundua udhaifu wa system au website na...
KICHWA Cha habari kinajieleza wakuu yaani naeweza kufungu app ya JAMII forum Lakini MB zinatembea vibaya mno katika GB 4 zinakauka fasta.
Wakuu inaweza kuwa shida Nini na nifanye Nini Kama Kuna...
Naomba msaada kwa wale wataalamu wa kuroot simu nina simu aina ya Tecno k7 naitaji kuiroot naweza kutumia njia gani rahisi bila kurumia computer.
Asanteni.
Habari wana jamii forum naomba msaada wa kujua app inayoweza kutafsiri sauti, mfano nasikiliza voice au short vidio ya kijerman inanitafsiria kiswahili moja kwamoja, naomba mwenye kujua anisaidie.
Wakubwa habari za mida tena, nahitaji ku jenga Gaming PC, kwa kutumia parts kutoka AliExpress. Mimi sina uzoefu na kazi hii na sijawai kufanya jambo hili nataka, kwanzia mwezi wa 12, nianze...
Habarini wakuu,
Ukiacha advertising platform kama facebook , instagram na twitter nani yupo familiar na google ads namaanisha vitu kama gharama, namna ya kudeliver na vitu vingine muhimu
Maana...
Application hii nimeitengeneza ikiwa ni sehemu ya mazoezi ya kujifunza programming.
Kwa watu wenye idea ya mambo ya cryptology watanielewa zaidi.Cipher ni maandishi ambayo yamebadilishwa ili...
US imepitisha sheria kuwa Tik Tok ijiuze kwa kiampuni za Marekani ndani ya mwaka mmoja au ifunge biashara US. Kwa nini bunge limepitisha sheria hii nzito?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.