Habari members
Naomba kufahamu kama kuna chuo chochote tofauti na veta chang'ombe ambacho wanatoa course ya generator service and repair na vigezo vyao
Asante 🙏
𝗝𝗶𝗻𝘀𝗶 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝗯𝗮𝗱𝗶𝗹𝗶 𝗳𝗼𝗻𝘁𝘀 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮𝗸𝗼
Kama ulikua hujui ni muhimu kubadilisha badilisha fonts ya kwenye simu yako ili kuifanya ya kuvutia Zaidi, fonts inasababisha simu kuwa na muonekano wa...
Wakuu habarini za asubuhi? Kuna mtu anataka kuniuzia simu, anasema ni iPhone 15 pro max. Nimemwomba anitumie picha zake ni kama sikuelewi hivi. Niombe mwenye uelewa wa simu hii aniambie aina yake...
Wanajamvi,
Natumaini tunaendelea vyema. Kama mnavyojua, dunia ina kasi ya kidigitali.
Na huenda hutaki kuachwa nyuma.
Juzi kuna lecturer mmoja aliniomba kumsaidia wazo na kudadavua jambo:
Ana...
Hapo zamani mitandao ilileta routers na modem za kampuni maarufu kama Huawei na zote,
Ma IT na mafundi wengi waliweza kuzifungua kwasababu wazungu, wachina, wahindi, waarabu, n.k. walikuwa...
Nitumie mfano harisi kwenye maisha yangu mwenyewe,
Hi ikupe mwanga wewe kuendelea kupigana kwenye hicho unachokifanya.
Tangia mdogo nlipenda sana mambo ya ufundi,hasa umeme na electonics...
Kuna hizi blender zinaitwa SILVER CREST zinauzwa bei rahisi sana hadi 55,000 alafu wanaziita Heavy duty, kwanini zinaonekana bei rahisi sana lakini zinauwezo mkubwa,
Wataalumu mnipe siri kuhusu...
Kwa mjibu wa basics za Physics, electric current itapita na kufanya kazi kama tu kuna closed path(Complete circuit).
Kwa maana hiyo kifaa chochote cha umeme kitafanya kazi kama kipo kwenye...
Habari zenu wakuu! Kama muhanga wa bei hizi kubwa za vifurushi vya intaneti (ambaye siishi karibu na eneo lenye Fibre) nilivyosikia kwamba Vodacom leo wanazindua huduma za 5G kwa majumbani--...
Hivi ukiachana na maswala ya VPN coz huwaga yanazingua sana, Kuna njia yoyote nyingine ya kupata Free internet data.
Mwenye ujuzi aniuzie, nataka niifanye fursa
Rejea mada tajwa hapo,
Nimehama kutoka mkoa X kwenda mkoa Y nimepata nyumba ambayo haina umeme na binafsi Musiki ndio tiba yangu na mfariji mkuu ukimya unanipa shida nataka kununua Solar pannel...
Wakuu kwema?
kuna Post yangu nilileta hapa kuwa kama una idea yeyote tuje tuifanyie kazi for free bila malipo yeyote
Nimefunga huu mjadala rasmi.. sipokei tena maombi nimepokea request nyingi...
copy paste ila mawazo ya mdau nimeyakubali na nimeona niweke awareness yake humu
Hivi karibuni baadhi ya vyuo vimeanza kukaza viwango vya ufaulu ili kuwachuja zaidi wanafunzi wanaotoka form 6...
Salaam wadau.
Naomba kujuzwa na yeyote kuhusiana na hizi Chipset za MediaTek, haswa ubora wake na kwa nini bidhaa zilizo na Chipset hii zinadharaulika, je ni kweli MediaTek ni hovyo au ni maoni...
Vipi wenzangu mnapiganaje na gharama za mawasiliano ya simu?
mwenzenu natumia si zaidi ya 400 kwa siku! kwa mwezi natumia 11,000 tu😅😅
Baada ya hapo naunga sms za buku siku 30
Simu zetu hizi za android zina vitu vingi sana hatuchaguliwi cha kutumia, updates zake nazo sometimes huwa zinakuwa complex kidogo.
Ukiona kuna update kwenye simu yako, dont rush !! Tulia na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.